Home EP EP | P Mawenge – Tambo Za Viwango

EP | P Mawenge – Tambo Za Viwango

Rapa wa Bongo Hip Hop, P Mawenge, amerudi kwa kishindo mwaka 2025 kwa kuachia EP mpya inayokwenda kwa jina la “Tambo Za Viwango.” EP hii ina jumla ya ngoma 6 kali, kila moja ikiwa na ujumbe mzito, uandishi wa hali ya juu, na midundo inayotambulisha ubora wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania.

“Tambo Za Viwango” inaonesha ustadi wa P Mawenge katika kubeba hadhi ya rap ya Kiswahili kwa ubunifu na ubora wa hali ya juu. Hii EP ni zawadi kwa mashabiki wa hip hop na ushahidi kwamba bado ana nafasi kubwa kwenye game.

Orodha ya Nyimbo (Tracklist) – Tambo Za Viwango: