AUDIO | Lody Music – Hisia
Lody Music ameachia wimbo mpya wenye kichwa Hisia.
Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia mwanamke na kuonyesha thamani yake katika mahusiano.
Ngoma hii ni ya kimahaba yenye ujumbe mzito wa kugusa moyo, na Lody Music anaendelea kuthibitisha kipaji chake kwenye Bongo Fleva.
Pakua/sikiliza kupitia DjNgomo.com.
Lody Music has officially released his brand new single titled Hisia.
The song is a romantic dedication praising a woman’s beauty and love.
It’s an emotional Bongo Fleva track filled with love vibes and heartfelt lyrics.
Stream and download the audio exclusively here on DjNgomo.com.
Lyrics (Sample)
NAKOSE CHA KUSEMA NIKIKUSKIA,
SAUTI YAKO INANIITA MIMI NITAZIMIA,
NINGEKUJUA MAPEMA MARA 100 OOH,
MAPENZI HAYA HISIA ZINANIZIDI,
NIKIKUONA MACHAYAKO YANANIITA.