Home PROMOTE YOUR MUSIC

PROMOTE YOUR MUSIC

PROMOTE YOUR MUSIC

1: TUMA WIMBO UKIAMBATANISHA PICHA  (COVER PHOTO) YA MSANII KUPITIA NJIA ZIFUATAZO;

(i) EMAIL ngomomedia@gmail.com

(ii) WHATSAPP +255678325545

2: Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh. 5,000/= (Elfu Tano tu) kwa Audio moja. Na kama ni Audio + Video utalipia Tsh. 15,000/= (Elfu Kumi na Tano) na Kwa Video Peke yake ni Tsh. 10,000= (Elfu Kumi tu)

3: NJIA ZA MALIPO :-
(i) TIGO PESA : +255 678 325 545 (Jackson Bruno)

(ii) KAMA UPO NJE YA TANZANIA TAFADHALI LIPIA KUPITIA WESTERN UNION

4: BAADA YA KULIPIA ZINGATIA NA UTUME VITU VIFUATAVYO :-

(i) Jina la Msanii

(ii) Jina la Wimbo

(iii) Picha ya Msanii (Picha ya Wimbo)

Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Piga simu au Tutumie Ujumbe Mfupi Kupitia )  

          PHONE : +255 678 325 545
EMAIL : ngomomedia@gmail.com

SAMBAZA NASI ILI WIMBO WAKO UWEZE KUFIKIA MAMILIONI YA WATEMBELEAJI WA SITE YETU DUNIANI KOTE.